Watch Videos Online

Mgaagaa Na Upwa : Kutana na bendi ya mtu mmoja anayeporomosha muziki murwaK24TV News-Politics 2016-07-05 - 16:10:28

"Taaluma ya muziki humu nchini wakati mwingine huwa na changamoto si haba, na kwa wanaojihusisha na taaluma hii kwa mara ya kwanza, safari ya kuwa msanii huwa ngumu mno. Lakini licha ya changamoto hizo, barobaro mmoja ambaye pia ni mwanamuziki na msaani jijini Nairobi, amejimudu kukabiliana na changamoto hizo na sasa angalau ameweza kukidhi maisha yake kupitia muziki. Na kama anavyotueleza mwanahabari wetu Shukri Wachu kwenye makala ya Mgaagaa Na Upwa wiki hii, Joshua Kamau al maarufu, “The one man band anazidi kubobea na kupata umaarufu mitaani Nairobi."Sign up to our newsletter

Don't miss any trending posts!