Watch Videos Online

Vitu 5 wanaume wanataka kutoka kwa WanawakeBeautyBelle Howto-Style 2018-08-24 - 10:39:08

"Hivi ni vitu 5 wanaume wanataka kutoka kwa Wanawake Karibuni kwenye show mpya ya “THE DAILY DOSE” with SHUBI hapa hapa kwenye channel ya BEAUTYBELLE. Segment hii itakuwa inaongelea relationships kati ya wanawake na wanaume. Kila wiki tunawaletea episode tofauti kuwapa lifestyle tips, relationship, make up tips na ushauri kwenye vitu vingine vinavyotuhusu sisi wasichana. Lengo letu ni kuwasaidia wadada wenzetu kwenye vitu tofauti ambavyo na sisi tumevipitia. Ushauri au ufafanuzi ambao upo kwenye episode hii na episodes zifuatazo ni opinion za Beautybelle. Sio kila jambo ambalo linaongelewa hapa litahusika na kila msichana. Kwahiyo tunakushauri uchukue ufafanuzi zaidi baada ya kufatilia kila kinacho ongelewa hapa. Jiunge nasi kila kila wiki hapa on the Beautybelle channel. click links below kuangalia episode zengine za the Daily DOSE; 1) Dalili TANO za kujua mwanaume ANA interest za kuwa kwenye relationship na wewe - https://www.youtube.com/watch?v=pJUlEenDVAg&t=48s 2) Vitu vinne ambavyo mwanaume anapenda kutoka kwa mwanamkE - https://www.youtube.com/watch?v=dRHrWIhtTyM 3) Mambo 5 ya Kufanya ili Mahusiano Yako Yadumu - https://www.youtube.com/watch?v=hnO2IZ7p2_k&t=154s"Sign up to our newsletter

Don't miss any trending posts!