Watch Videos Online

Mwanamuziki aliyevumishwa na kibao Fimbo ya NyayoTaifa Leo News-Politics 2013-01-23 - 12:10:08

"Ustadi wake wa kucheza gitaa ni dhihirisho kuwa Peter Akwabi ni gwiji katika ulingo wa muziki. Amedumu katika fani hii kwa takriban miaka 50, huku akitunga zaidi ya myimbo 300. Kwa wasiomfahamu, ni mtunzi wa wimbo wa Fimbo ya Nyayo, uliopata umaarufu na hata kuwa kitambulisho cha sherehe za kitaifa hasa katika serikali ya Rais Mstaafu Daniel Moi. PAULINE ONGAJI anaripoti. http://www.swahilihub.com"

Related VideosSign up to our newsletter

Don't miss any trending posts!