Watch Videos Online

Mfahamu Fundi wa kupaua nyumba anaye kubalika Mbezi Beach!Super News TV Entertainment 2018-04-20 - 18:36:42

"Felix Nangai ni mtaalamu wa kupaua nyumba kwa mitindo ya kisasa, pia ni fundi pekee ambaye ametokea kukubalika maeneo ya Mbezi Beach Jijini Dar es salaam, kutokana na ubora wa kazi zake uharaka na uaminifu wake. Amekuwa ni fundi mwenye utofauti mkubwa sana hasa kwa kuzingatia uimara wa vifaa vinavyo takiwa kutumika wakati wa kuezeka nyumba. Vile vile aina ya bati na mbao ambazo huwa anazitumia fundi Felix huwa ni zile zenye ubora wa hali ya juu. kiukweli huwa zinawakosha wateja wake maana hakuna nyumba iliyowahi kupauliwa na Felix halafu ikasumbua. Kwa kutazama umbile lake unaweza ukampuuza lakini ni kijana mwenye uzoefu katika kazi miaka sita sasa. Ni kijana mwenye ubunifu mkubwa sana katika kazi zake na pia ni mtu mwenye kupenda kushauri wateja wake.. Tazama Video hii uone moja kati ya kazi zake ukivutiwa nayo unaweza kumtumia katika nyumba yako namba yake ni 0656573141 Enjoy to watch Super News TV online made in Tanzania subscribe our Channel for more videos. for any thing Call us 0658161950"Sign up to our newsletter

Don't miss any trending posts!